Sita zilizopanda daraja msimu huu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
•
6 Feb 2018
Sita zilizopanda daraja msimu huu
African Lyon imerejea ligi kuu msimu ujao baada ya kuichapa Kiluvya Fc kwa bao 1-0.

Lyon inaungana na timu nyingine tano zilizopanda daraja kushiriki ligi kuu ya Vodacom msimu ujao.

1. ‪JKT Tanzania - Dar‬
2. ‪KMC - Dar
‪ 3. Coastal Union‬ - Tanga
4. ‪Biashara United - Mara‬
5. ‪Alliance - Mwanza‬
6. ‪African Lyon - Dar‬

Msimu ujao ligi kuu itakuwa na timu 20 hivyo sita zimepanda kutoka ligi daraja la kwanza huku mbili zikitarajiwa kushuka kutoka ligi kuu mwishoni mwa msimu.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
1h ago
READ MORE →
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
1h ago
READ MORE →
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
2h ago
READ MORE →
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
5h ago
READ MORE →
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
20h ago
READ MORE →
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
20h ago
READ MORE →
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE →
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE →
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE →
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE →