Mtendaji Mkuu wa Yanga Senzo Mazingisa amesisitiza kuwa mshambuaji Fiston Mayele bado ana mkataba na Yanga na hawajamuuza kwa klabu yoyote
Senzo amesrma yeye atakuwa tayari kuondoka Yanga kama ikitokea Mayele amejiunga na Kaizer Chiefs kama taarifa zilivyosambazwa kwenye mitandao ya kijamii inavyodai
"Mayele ni mchezaji wa Yanga bado ana mkataba, tumepokea ofa lakini tumesema hatumuuzi. Kuna wanahabari wawili kutoka Ghana ndio wanatuvuruga, tutawajibu," alisema Senzo
Mwandishi wa Habari kutoka Ghana Nuhu Adams ndiye aliyetoa taarifa hiyo akidai Mayele amesaini mkataba wa miaka kuitumikia Kaizer Chiefs
ADVERTISE HERE