Hii ni rekodi ya kibabe

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
29 Jun 2022
Hii ni rekodi ya kibabe

Hii ni rekodi kubwa ambayo itaandikwa katika vitabu vya kumbumbuku katika soka la Tanzania

Kucheza msimu mzima pasipo kupoteza mchezo ni jambo ambalo hujitokeza mara chache sana tena baada ya miaka mingi

Msimu wa ligi kuu 2013/14 Azam Fc waliweka rekodi hii na Yanga wameivunja baada ya miaka 10

Huenda itakaa muda mrefu zaidi mpaka kuja kuvunjwa tena

Lakini kubwa zaidi ni kuwa Yanga imeendelea kuwa timu isiyofungika kwani mara ya mwisho kupoteza mchezo kwenye ligi ni April 23 2021

Wananch wanakila sababu ya kujivunia mafanikio haya

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
5h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
9h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
10h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
20h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
20h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
23h ago
READ MORE β†’