Ligi Kuu 2021/22 inahitimishwa leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
29 Jun 2022
Ligi Kuu 2021/22 inahitimishwa leo

Hatimaye mikiki mikiki ya ligi kuu ya NBC msimu wa 2021/22 inakwenda kuhitimishwa leo kwa timu zote 16 kushuka viwanjani

Vita kubwa inatarajiwa kuwa katika nafasi za chini, Mbeya Kwanza ndio timu ambayo imejihakikishia kuteremka daraja mpaka sasa

Huku juu tayari Wananchi wamekabidhiwa ubingwa wao waliotwaa tangu wakiwa na michezo mitatu mkononi

Simba imejihakikishia kumaliza kwenye nafasi ya pili wakati nafasi ya tatu ni Azam Fc

Hata hivyo Geita Gold wanaweza kupanda nafasi ya tatu kama watashinda mchezo wao dhidi ya Coastal Union ugenini iwapo Azam Fc watapoteza mchezo dhidi ya Biashara United

Biashara United wataungana na Mbeya Kwanza kushuka daraja moja kwa moja kama watapigwa na Azam Fc leo

Ruvu Shooting itakuwa nyumbani kuikabili Tanzania Prisons, timu zote zikiwa katika nafasi ya play-off

Timu itakayoshinda inaweza kuondoka katika eneo la play-off kutegemea na matokeo ya michezo ya Yanga dhidi ya Mtibwa Sugar na Dodoma Jiji dhidi ya KMC

Mtibwa Sugar wanahitaji angalau alama moja kujihakikishia kubaki ligi kuu au kucheza play-off, wanakutana na Wananchi ambao wana kiu ya kumaliza msimu pasipo kupoteza mchezo

Mechi zote zitapigwa kuanzia saa kumi kamili jioni

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
5h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
9h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
14h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
14h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’