Hii ndiyo Yanga bana!

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
5 Feb 2018
Hii ndiyo Yanga bana!
Tofauti ya Yanga na hao wengine ni mafanikio yake makubwa kwenye soka la Tanzania na ukanda wa Afrika Mashariki.

Wakati wao wakitumia muda mwingi kujisifia, Yanga ndiyo yenye rekodi ya kutwaa mataji mengi katika soka la Tanzania.

Yanga imetwaa jumla ya mataji 27 ya ligi wakati Simba ina mataji 18 pekee.

Hapa chini tumeweka rekodi ya mataji tuliyoyakumbuka yaliyotwaliwa na Yanga tangu timu hiyo ilipoanzishwa mwaka 1935.

Ubingwa wa Tanzania Bara (X27)
1968, 1969, 1970, 1971, 1972, 1974, 1981, 1983, 1985, 1987, 1989, 1991, 1992,1993, 1996, 1997, 1998, 2002, 2005, 2006, 2007-2008, 2008-2009, 2010-2011, 2012-2013,2014-15,2015-16,2016-17.

Tanzanian Cup (4), FA(1)
1975, 1994, 1999, 2000,2015-16 (ASFC)

CECAFA Clubs Cup (5)
1975, 1993, 1999, 2011, 2012
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’