Mapema leo, kiungo mshambuliaji Deus Kaseke akiambatana na Viongozi wa Yanga kwa kushirikiana na GSM, ametoa msaada wa mifuko 100 ya Saruji na Mchanga kwenye shule ya msingi aliyosoma iitwayo Nzovwe iliyopo Mbeya mjini
Aidha, Yanga kwa kushirikiana na GSM pamoja na Wanachama wa Tawi la Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya, wametembelea Wodi ya Watoto katika hospitali hiyo iliyoko Hill Road, Mbeya Mjini.





ADVERTISE HERE