Yanga kuifuata Mbeya City leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
23 Jun 2022
Yanga kuifuata Mbeya City leo

Baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Polisi Tanzania jana, leo kikosi cha Yanga kinatarajiwa kuondoka jijini Dar es salaam kuelekea mkoani Mbeya wanakokabiliwa na mchezo mwingine wa ligi kuu dhidi ya Mbeya City

Mchezo huo utapigwa keshokutwa Jumamosi katika uwanja wa Sokoine

Ni baada ya mchezo huo Yanga itakabidhiwa ubingwa wa ligi kuu ambao wametwaa wakati ligi ikiwa bado inaendelea

Yanga inakwenda Mbeya na msafara wa timu nzima kwa ajili ya shamrashamra hizo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
2h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
6h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
11h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
11h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
21h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’