Diarra mlinda lango bora ligi kuu 2021/22

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Jun 2022
Diarra mlinda lango bora ligi kuu 2021/22

Mlinda lango wa Yanga Djigui Diarra anatarajiwa kuwa mlinda lango bora wa ligi kuu msimu huu baada ya kukusanya 'cleansheet' nyingi kuliko wapinzani wake

Wakati ligi kuu ikiingia mzunguuko wa 28, baadhi ya timu zikiwa bado na mechi tatu, Diarra ana cleansheet 15 ambazo haziwezi kufikiwa na mlinda lango mwingine

Aishi Manula wa Simba anashika nafasi ya pili akiwa na cleansheet 11, timu yake ikisalia na michezo mitatu

Nafasi ya tatu inashikiliwa na mlinda lango mwingine wa Yanga Aboutwalib Mshery mwenye cleansheet 10

Kwa hakika msimu huu Yanga ilidhamiria kumaliza utata katika eneo la walinda lango

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
3h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
4h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
7h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
12h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
15h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
18h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’