Press release
Katibu Mkuu wa Young Africans Sports Club, Charles Boniface Mkwasa kesho Ijumaa, Julai 14 2017 atakuwa na mkutano na Waandishi wa Habari, makao makuu ya klabu Jangwani, Dar es Salaam kuanzia Saa 6:00 mchana.
Imetolewa na Idara ya Habari na Mawasiliano.
Young Africans Sports Club.
13/07/2017

ADVERTISE HERE