Morrison amewasiliana na viongozi wa Simba hivi karibuni akiomba apatiwe barua ya kumtambulisha kuwa ni mchezaji huru
Simba wamegoma kumpa barua hiyo baada ya kubaini atajiunga na Yanga
Mkataba wa Morrison na Simba unamalizika August 14 2022 wakati michuano ya ligi ya mabingwa inatarajiwa kuanza August 12 2022
Usajili wa CAF utafungwa kabla ya mkataba wake na Simba kumalizika kwa maana hiyo ni kuwa Yanga haitaweza kumsajili Morrison kwa ajili ya michuano ya CAF
Kama Yanga itamsajili Morrison, italazimika kusubiri hatua ya makundi kuweza kumtumia kwenye michuano ya CAF kama watafanikiwa kuvuka hatua za awali
Lakini Yanga wataweza kumtumia pasipo kikwazo chochote kwenye ligi ya ndani
ADVERTISE HERE