La Liga wameipongeza klabu ya Yanga kwa kutwaa ubingwa wa ligi kuu ya NBC kwa mara ya 28
Pongezi hizo wamezitoa kupitia kurasa yao rasmi ya mtandao wa Facebook
La Liga ni partiner wa Yanga kwenye mchakato wa Mabadiliko ya mfumo wa uwendeshaji
Wao ndio waliopendekeza mfumo ambao Yanga imechagua kwenda nao

ADVERTISE HERE