Mabingwa wa soka Tanzania Bara Yanga keshokutwa Jumatano watashuka uwanja wa Benjamin Mkapa kuikaribisha Polisi Tanzania katika mchezo wa ligi kuu ya NBC
Huu ni mchezo wa mwisho kwa Yanga kucheza katika uwanja wake wa nyumbani kwani mchezo wa kuhitimisha msimu dhidi ya Mtibwa Sugar utapigwa Juni 29 katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid
Kuna mabadiliko ya muda wa mchezo huo yamefanyika ambapo utapigwa kuanzia saa 12:30 jioni
ADVERTISE HERE