Makambo katika mtego Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 Jun 2022
Makambo katika mtego Yanga

Ujio wa mshambuliaji Lazarous Kambole kwenye kikosi cha Yanga ni kwa ajili ya kumpa changamoto mshambuliaji kinara Fiston Mayele

Msimu huu Mayele amekuwa tegemeo zaidi katika safu ya ushambuliaji baada ya Heritier Makambo kushindwa kufikia matarajio ya wengi

Pia ujio huo unazidi kumuweka katika wakati mgumu Makambo kwani sasa anaweza kuwa chaguo la tatu

Ikumbukwe pia Mburkinabe Yacouba Songne amepona majeraha na hakuna shaka msimu ujao atakuwa ameimarika zaidi na kurejea kikosini

Sasa Mayele, Kambole, Makambo na Yacouba watakuwa katika mchuano wa aina yake ingawa Yacouba na Kambole wana faida zaidi kwa vile wanaweza kucheza kama washambuliaji wanaotokea pembeni

Lakini pia Yanga italazimika kufanya maamuzi ya kuacha nyota mmoja wa kigeni kwani usajili wa wachezaji wanne katika dirisha hili utafanya wawe na wachezaji 13 wa kigeni

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’