Asec Mimosas kama Yanga tu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
17 Jun 2022
Asec Mimosas kama Yanga tu

Klabu ya Yanga imeipongeza klabu ya Asec Mimosas kwa kutwaa ubingwa wa ligi kuu ya Ivory Coast

Asec wametwaa ubingwa wa 28 wa ligi kama ilivyofanya Yanga siku mbili zilizopita pale uwanja wa Benjamin Mkapa baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Coastal Union

Asec ndiko anakocheza kiungo mshambuliaji Stephan Aziz Ki ambaye Wananchi wanamsubiri amalize mkataba wake katika klabu hiyo

Ligi Kuu ya Ivory Coast inamalizika Jumatano, Juni 19 huku mkataba wa Aziz Ki na timu hiyo ikielezwa kuwa utamalizika Juni 28

Jana katika Mkutano na Wanahabari, Msemaji wa Yanga Haji Manara alisema usiku wa Juni 29 watahitimisha mjadala unaomuhusu kiungo huyo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
3h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
4h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
7h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
22h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’