Yanga kukabidhiwa ubingwa Mbeya

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
16 Jun 2022
Yanga kukabidhiwa ubingwa Mbeya

Afisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli amesema Bodi ya Ligi imeridhia kuwakabidhi ubingwa wao mkoani Mbeya baada ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mbeya City

Juni 25 Yanga itakuwa dimba la Sokoine kumenyana na Mbeya City katika mchezo wa mzunguuko wa 29

Bumbuli amesema watakamilisha mchezo wa mwisho msimu huu dhidi ya Mtibwa Sugar katika uwanja wa Benjamin Mkapa wakiwa na taji lao

Jana Yanga ilitwaa ubingwa wa ligi kuu kwa mara ya 28 baada ya kuichapa Coastal Union mabao 3-0 katika mchezo uliopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa

Mabao ya Fiston Mayele (2) na Chico Ushindi yalitosha kuihakikishia Yanga ubingwa huo huku wakiwa na michezo mitatu mkononi

Yanga imefikisha alama 67 ambazo hakuna timu inaweza kuzifikia

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
6h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
6h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
10h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
14h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
17h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
20h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’