Ajib anauguza jeraha la goti

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
4 Feb 2018
Ajib anauguza jeraha la goti
Yanga inapita katika kipindi kigumu pengine kuliko wakati wowote kutokana na wachezaji wake waandamizi kuwa majeruhi.

Ibrahim AJib anaendelea na matibabu ya goti, anaungana na timu ya majeruhi ya wachezaji wa Yanga wanao kosekana kwenye kikosi cha Yanga sasa.



Youthe Rostand, Juma Abdul, Haji Mwinyi, Andrew Vicent, Abdallah Shaibu, Pato Ngonyani, Yohana Nkomola, Thabani Kamusoko, Amissi Tambwe, Donald Ngoma na Ibrahim Ajib wanaunda kikosi cha majeruhi!

Mlinda lango Youthe Rostand ameumia jana kwenye mchezo dhidi ya Lipuli FC na hivyo kuifanya Yanga imtumie kipa mdogo kuliko wote kwenye ligi, Ramadhani Kabwili.

Bila shaka viongozi wa Yanga watakuwa wanafanya kila linalowezekana kuhakikisha baadhi ya wachezaji wanarejea mapema kuelekea mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya St Louis Jumamosi ijayo.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
4h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
8h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
13h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
13h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
23h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’