Mdhamini wa Yanga Ghalib Said Mohammed 'GSM' yuko ndani ya uwanja wa Benjamin Mkapa kuwashuhudia vijana wake wakizisaka alama tatu muhimu zitakazowahakikishia ubingwa wa ligi kuu msimu huu
GSM yuko jukwaa la watu maarufu akiketi sambamba na Mwenyekiti wa Yanga Dk Mshindo Msola
Mchezo unapigwa kuanzia saa mbili na nusu usiku...!
ADVERTISE HERE