Hii ni siku maalum kwa Wananchi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Jun 2022
Hii ni siku maalum kwa Wananchi

Kwa Mwananchi ambaye uko ndani ya Jiji la Dar es salaam hupaswi kukosa mchezo wa leo dhidi ya Coastal Union ili kuhakikisha wachezaji wanapata sapoti ya kutosha wakati wakipigania alama tatu za ubingwa

Serikali kupitia Mkuu wa wilaya ya Temeke Mh Jokate Mwegelo amewahakikishia usalama mashabiki watakaokwenda dimba la Mkapa kushuhudia mchezo huo ambao unatarajiwa kuanza saa mbili na nusu usiku baada ya mchezo kati ya Azam Fc dhidi ya Mbeya Kwanza ambao utapigwa saa 12:30 jioni

Afisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli amesema hii ni siku maalum kwa mashabiki wa Yanga, wanapaswa kwenda uwanjani kwa wingi huku wakiendelea kupiga kura katika NANI ZAIDI

Unaweza kujipatia tiketi kupitia vituo hivi;

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
8h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
13h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’