Jumatano ni Ubingwa na kupiga kura kwa wingi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
14 Jun 2022
Jumatano ni Ubingwa na kupiga kura kwa wingi

Afisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli amewataka mashabiki wa Yanga kuhakikisha wanajitokeza kwa wingi siku ya Jumatano kwenye mchezo wa ligi kuu dhidi ya Coastal Union ambao utapigwa katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Mchezo huo ambao utapigwa kuanzia saa 2:30 usiku, utaishuhudia Yanga ikitwaa ubingwa kama itaondoka na matokeo ya ushindi

Aidha Bumbuli amewataka Wananchi kuendelea kuipigia kura timu yao kwa wingi katika shindano la Nani Zaidi dhidi ya watani zao Simba

Akizungumzia shindano hilo, Msemaji wa Yanga Haji Manara, amesema utamaduni wa Yanga ni kushinda tu hivyo wanapaswa kuhakikisha wanapiga kura kwa wingi

Yanga imeitangaza siku ya Jumatano kuwa siku maalum ya Ubingwa na kupiga kura kwa wingi...!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
5h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
8h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
13h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
16h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’