Kikosi cha Yanga leo kimeingia kambini kwa ajili ya maandalizi kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Coastal Union ambao utapigwa Jumatano, Juni 15 katika uwanja wa Benjamin Mkapa
Wananchi wanajiandaa kikamilifu wakihitaji kushinda mchezo huo ili kutwaa ubingwa wa ligi kuu ya NBC msimu huu






ADVERTISE HERE