Mkongwe Saido Ntibazonkiza leo alipata nafasi ya kuwaaga wachezaji wenzake Avic Town akiwa anaondoka baada ya mkataba wake kumalizika
Saido amewatakia kheri wachezaji wenzake kuhakikisha wanakamilisha malengo waliyoanza nayo msimu huu huku akiwashukuru mashabiki kwa sapoti waliyompatia katika kipindi chote alichoitumikia Yanga
ADVERTISE HERE