Yanga inatajwa kuwa katika mchakato wa kukamilisha usajili wa aliyekuwa mshambuliaji wa Kaizer Chiefs Lazarus Kambole raia wa Zambia
Kambole amemaliza mkataba na klabu ya Kaizer Chiefs msimu huu uliomalizika sasa ni mchezaji huru
Yanga ilijaribu kumsajili Kambole msimu uliopita lakini haikuwezekana kwa sababu ya masharti ya mkataba wake
Yawezekana asiwe na takwimu nzuri sana katika klabu ya Chiefs kutokana na muda finyu aliokuwa akipata lakini Kambole alikuwa na rekodi za kutisha kule Zambia wakati akiitumikia klabu ya Zesco United
Je atatua kwa Wananchi? Tusubiri...!
ADVERTISE HERE