Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa mlinda lango wa Yanga Erick Johora
Johora hajapata muda wa kutosha kuonyesha makali yake mbele ya Djigui Diarra na Aboutwalib Mshery lakini hakuna shaka juu ya uwezo wake
Tunamtakia kila la kheri katika siku hii ya kumbukumbu ya kuzaliwa
HAPPY BIRTHDAY JOHORA!
ADVERTISE HERE