Yanga kuingia kambini Jumapili

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 Jun 2022
Yanga kuingia kambini Jumapili

Kikosi cha Yanga kitaingia kambini kesho Jumapili kukamilisha maandalizi ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Coastal Union ambao utapigwa Jumatano, Juni 15 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Afisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli amesema timu itaingia kambini ikiwa na kikosi kamili kitakachowajumuisha wachezaji waliokuwa katika majukumu ya timu za Taifa

Wachezaji hao walipewa mapumziko ya siku mbili baada ya kurejea

Aidha Bumbuli amewahamasisha Mashabiki wa Yanga kuendelea kuchangia shindano la Nani Zaidi huku akitamba kuwa wataonyesha ukubwa wao kwenye shindano hilo baada ya mchezo dhidi ya Coastal Union ambao anaamini wataibuka na ushindi ili kuwa mabingwa wa ligi kuu msimu huu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’