Ni Jumatano ijayo dimba la Mkapa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Jun 2022
Ni Jumatano ijayo dimba la Mkapa

Yanga imebakisha alama tatu tu kutwaa ubingwa wa ligi kuu, Jumatano ijayo Juni 15 watashuka kunako uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili coastal Union

Mtanange huo utakaopigwa kuanzia saa moja usiku, ushindi kwa Yanga utawakikishia ubingwa wa 28 ligi kuu ya Tanzania Bara

Kwa hakika mchezo dhidi ya Coastal Union utakuwa fainali kwa Yanga, kwani ni wazi Wananchi hawatakuwa tayari kuendelea kusubiri shamrashamra za ubingwa

Habari njema kwa Yanga ni kurejea kikosini kwa wachezaji ambao walikuwa na majukumu katika timu za Taifa wakiungana na wenzao wanaoendelea kuijifua Avic Town

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
5h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
9h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
14h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’