Mayele hauzwi - Senzo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 Jun 2022
Mayele hauzwi - Senzo

Mtendaji Mkuu wa Yanga Senzo Mazingisa amethibitisha klab hiyo kupokea ofa mbili zinazomuhusu mshambuliaji wao kinara wa mabao Fiston Mayele

Klabu za Kaizer Chiefs na RS Berkane zimewasilisha ofa kumtaka Mayele aliyefunga mabao 14 kwenye ligi mpaka sasa msimu huu

Hata hivyo Senzo amesema klabu haina mpango wa kumuuza Mayele ambaye bado ana mkataba wa mwaka mmoja

"Ni kweli tumepokea ofa mbili, Kaizer Chiefs na Berkane wameonyesha nia ya kumtaka Mayele lakini kama klabu hatumuuzi," alisema Senzo

Yanga imeweka malengo ya kufanya vizuri kwenye michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika msimu ujao

Hivyo ni wazi haitakuwa tayari kuwapoteza wachezaji wake muhimu katika kikosi cha kocha Nasreddine Nabi ambacho kinaelekea kwenda kutwaa ubingwa wa ligi kuu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
7h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
8h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
11h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
15h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
18h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
22h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’