Pole Ninja! Utarejea kwa nguvu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3 Feb 2018
Pole Ninja! Utarejea kwa nguvu
Mlinzi chipukizi Abdallah Shaibu 'Ninja' bado anaendelea kuuguza majeraha yake aliyoyapata kwenye michuano ya kombe la Mapinduzi.

Imekuwa bahati mbaya kwake kwani uwezo wake tayari ulikuwa umeweza kulishawishi benchi la ufundi.



Ameumia wakati ambao nyota yake ilikuwa imeanza kun'gara.

Tunamuombea apone haraka, Yanga inamuhitaji sana sasa hasa ikizingatiwa inakabiliwa na michuano mitatu, Ligi, Kombe la FA na ligi ya mabingwa.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
4h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
8h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
12h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
13h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
23h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’