Kanda ya Pwani yaongoza kwa kusajili Wanachama Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 Jun 2022
Kanda ya Pwani yaongoza kwa kusajili Wanachama Yanga

Kanda ya Pwani ni kinara wa kuandikisha Wanachama wa Yanga katika mfumo mpya wa kidigitali

Akizungumza katika Mkutano na Wanahabari mapema leo, Mkurugenzi Mtendaji wa Kilinet Mohammed Saleh, aliatangaza kampuni hiyo kusajili Wanachama 34,650 huku Kanda ya Pwani ikisajili Wanachama 15, 804

Kanda ya Ziwa wanafuatia kwa kusajili Wanachama 4,425, Kanda ya Nyanda za Juu Kusini Wanachama 3,370, Kanda ya Kati Wanachama 2,324 na Kanda ya Kaskazini ikishika nafasi ya tano kwa kusajili Wanachama 2,057

Mkoa wa Dar es salaam ndio kinara wa kusajili Wanachama ambapo idadi ya Wanachama waliosajiliwa ni 12,124

Mkoa wa Mwanza umesajili Wanachama 1,982, Mbeya (1,655), Dodoma (1,521), Morogoro (1,410) na Pwani (1,341)

Hivi karibuni zoezi la kusajili mashabiki litaanza huku zoezi la kusajili Wanachama pia likiendelea

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
16h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’