Najituma, nafuata maelekezo ya Walimu - Job

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
5 Jun 2022
Najituma, nafuata maelekezo ya Walimu - Job

Mlinzi wa kati ya Yanga Dickson Job amesema ubora anaoonyesha uwanjani unatokana na kujituma kwake pamoja na kufuata maelekezo anayopewa na walimu wake

Job ameendelea kuwa na kiwango bora katika klabu ya Yanga na katika timu ya Taifa ambako kwenye safu ya ulinzi anacheza na pacha wake Bakari Nondo Mwamnyeto

Licha ya umbile lake kuwa dogo, Job amefuta ile dhana ambayo baadhi ya watu wameijenga kuwa mlinzi wa kati lazima awe mrefu

Akiwa uwanjani, Job hucheza mipira mingi ya juu mbele ya washambuliaji warefu

"Jambo kubwa ambalo huwa nafanya nikiwa uwanjani ni kujituma na kufuata maelekezo yote ninayopewa na walimu wangu. Pia nashirikiana vizuri na wenzangu" alisema Job

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
19h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
22h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
23h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’