Dirisha la usajili CAF kufungwa Juni 30

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
4 Jun 2022
Dirisha la usajili CAF kufungwa Juni 30

Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) limewaagiza Wanachama wake kuwasilisha majina ya timu pamoja na wachezaji waliosajiliwa kwa ajili ya michuano ya ligi ya mabingwa na kombe la Shirikisho barani Afrika kabla ya Juni 30 mwaka huu

Taarifa ya CAF imebainisha kuwa hakutakuwa na muda wa nyongeza baada ya tarehe 30 Juni 2022

Yanga tayari imejihakikishia tiketi ya kucheza michuano ya ligi ya mabingwa kama ilivyo kwa watani zao Simba

Tanzania itawakilishwa na timu mbili kwenye michuano ya ligi ya mabingwa na timu mbili kwenye michuano ya kombe la Shirikisho

Bingwa wa ligi kuu na timu itakayoshika nafasi ya pili zitacheza ligi ya mabingwa wakati timu itakayoshika nafasi ya tatu na bingwa wa michuano ya kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) zitashiriki kombe la Shirikisho

Kama itatokea bingwa wa ligi kuu ndiye bingwa wa kombe la Shirikisho la Azam, au timu iliyoshika nafasi ya pili kwenye ligi, basi timu itakayomaliza kwenye nafasi ya nne katika msimamo wa ligi itashiriki kombe la Shirikisho

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’