Chuji airejesha Coastal Union Ligi Kuu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3 Feb 2018
Chuji airejesha Coastal Union Ligi Kuu
Kiungo wa Coastal Union Athumani Iddi 'Chuji' ameifungia timu yake bao muhimu kwenye ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Mawenzi na kufanikiwa kurejea ligi kuu ya Vodacom.

Chuji aliyejizolea umaarufu wakati akiitumikia Yanga, amekuwa chachu ya mafanikio kwa Coastal iliyorejea ligi kuu baada ya kusota kwa misimu miwili.

Nayo KMC inayonolewa na mkongwe mwingine wa Yanga, Fred Felix Minziro imepanda daraja baada ya kuilaza JKT Mlale bao 1-0.

KMC imemaliza kundi B ikiwa na nafasi ya kwanza baada ya kufikisha alama 28 ikifuatiwa na Coastal Union yenye alama 26.

Timu hizo zinaungana na JKT Ruvu kuwa timu tatu za kwanza kupanda ligi kuu ya Vodacom msimu ujao.

Timu sita zinatarajiwa kupanda daraja huku mbili zikishuka kutoka ligi kuu msimu huu.

Msimu ujao timu 20 zitashiriki ligi kuu ya Vodacom.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
14h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
18h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
23h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
23h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’