Uongozi wa klabu ya Yanga umetangaza kuachana na mkongwe Saido Ntibazonkiza ambaye mkataba wake umemalizika
Taarifa iliyotolewa na Yanga leo imebainisha kuwa Ntibazonkiza amemaliza mkataba wake leo May 30 2022
Yanga imemshukuru kwa utumishi wake na kumtakia kila la kheri katika maisha yake ya soka

ADVERTISE HERE