Wananchiii endeleeni kujiandikisha kidigitali

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
30 May 2022
Wananchiii endeleeni kujiandikisha kidigitali

Klabu ya Yanga imewataka mashabiki wake waendelee kujiandikisha kuwa Wanachama kupitia mfumo wa kidigitali

Zoezi la uandikishaji wa Wanachama linaendelea kote nchini ambapo zaidi Wananchi 40,000 tayari wamejiandikisha kuwa Wananchama, ili kuwa sehemu ya wamiliki wa klabu ambao watashiriki katika vikao vya maamuzi

Yanga iko katika hatua za mwisho kukamilisha mchakato wa mabadiliko ya mfumo wa uendeshaji ambapo zoezi hilo linapaswa kuwa limekamilika kufikia mwishoni mwa mwezi Juni

Kabla ya kuwaalika wawekezaji, Yanga itafanya tathmini ya thamani yake, Wanachama ni sehemu ya utajiri wa klabu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
1h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
5h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
6h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
9h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’