Kayembe ana mgogoro na timu yake ya zamani SM Sanga Balende

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3 Feb 2018
Kayembe ana mgogoro na timu yake ya zamani SM Sanga Balende
Kumekuwa na maswali mengi yanayohoji alipo beki Fiston Kayembe Kanku ambaye amesajiliwa na Yanga wakati wa dirisha dogo la usajili.

Ni hivi; Kayembe hawezi kuitumikia Yanga kwa kuwa ana mgogoro na klabu yake ya zamani, SM Sanga Balende.

SM Sanga Balende ya DRC imegoma kutoa ITC ya beki huyo aliyesajiliwa wakati wa dirisha dogo la usajili.

Mmoja wa wajumbe wa Kamati ya usajili ya Yanga amedokeza kuwa mchezaji huyo aliihakikishia Yanga kuwa mkataba wake wa kuitumikia SM Sanga Balende ulikuwa umemalizika na ndio maana akasajiliwa akiwa mchezaji huru.

Hata hivyo timu yake hiyo ya zamani imezuia ITC yake na kuifanya Yanga isiwe na namna ya kumtumia mchezaji huyo.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
3h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
7h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
10h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
19h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’