Ni Yanga vs Coastal Union fainali kombe la FA

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
29 May 2022
Ni Yanga vs Coastal Union fainali kombe la FA

Coastal Union imetinga fainali ya michuano ya kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) wakipata ushindi wa mikwaju ya penati 6-5 katika mchezo wa nusu fainali dhidi ya Azam Fc

Mchezo huo uliopigwa kwa dakika 120, ulimalizika kwa suluhu ya bila kufungana hivyo mshindi kuamuliwa kwa changamoto ya mikwaju ya penati

Coastal Union sasa itachuana na Yanga kwenye mchezo wa fainali ambao utapigwa Julai 02 katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid

Kabla ya mchezo huo wa fainali, Yanga na Coastal Union zitakutana kwenye mchezo wa ligi kuu ambao utapigwa Juni 15 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Yanga inahitaji kushinda mchezo huo ili kutwaa ubingwa wa ligi kuu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
2h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
8h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
18h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
23h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’