Nyota wa Yanga walioitwa timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' wamejumuika na wenzao leo wakianza mazoezi kuelekea mechi za kuwania kufuzu fainali za Afcon 2023
Stars inafanya mazoezi katika uwanja wa Benjamin Mkapa kujiandaa na michezo miwili itakayopigwa wiki ijayo
Juni 04 Tanzania itacheza na Niger ugenini na baadae kurejea Tanzania kuwakabili Algeria katika mchezo utakaopigwa Juni 08 katika uwanja wa Benjamin Mkapa





ADVERTISE HERE