Yanga yaondoka Mwanza kurejea Dar

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
29 May 2022
Yanga yaondoka Mwanza kurejea Dar

Baada ya kukamilisha mkakati ya kutinga fainali ya michuano ya kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) kwa kuichapa Simba bao 1-0, kikosi cha Yanga kimeondoka jijini Mwanza kurejea Dar es salaam

Hakutakuwa na mchezo wa ligi kwa takribani wiki mbili ligi ikisimama kupisha kalenda ya FIFA ambapo michezo ya timu za Taifa kusaka tiketi ya michuano ya Afcon 2023 itapigwa

Wachezaji waliotwa timu za Taifa wanakwenda kujiunga na timu zao huku nyota wengine wakitarajiwa kupewa mapumziko ya siku chache na baadae kuendelea na maandalizi ya kumalizia msimu

Mchezo utakaofuata kwenye ligi ni dhidi ya Coastal Union ambao utapigwa Juni 15 katika uwanja wa Benjamin Mkapa na kufuatiwa na mchezo dhidi ya Polisi Tanzania ambao utapigwa Juni 19 katika dimba la Mkapa pia

Wananchi wanahitaji alama tatu tu kutwaa ubingwa wa ligi kuu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
26m ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
15h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
20h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’