Asanteni sana Mwanza

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
29 May 2022
Asanteni sana Mwanza

Yanga jana iliunguruma katika uwanja wa CCM Kirumba ikipata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Simba na kutinga fainali ya michuano ya kombe la Shirikisho la Azam (ASFC)

Ni mwendelezo wa rekodi nzuri ya Yanga mkoani Mwanza wakipata ushindi wa sita katika michezo nane waliyocheza na Simba katika uwanja wa CCM Kirumba

Wananchi wa Mwanza walijitokeza kwa wingi CCM Kirumba kuishangilia timu yao

Kwa hakika ilikuwa siku ya furaha kwao, shangwe ya aina yake ilitawala jiji la Mwanza baada ya dakika 90 za mchezo kumalizika

Wananchi wa Mwanza walitimiza wajibu wao katika kuishangilia timu na hakika wanastahili pongezi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
1h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
2h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
5h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
20h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’