Kibwana apelekwa Hospitali kwa matibabu zaidi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 May 2022
Kibwana apelekwa Hospitali kwa matibabu zaidi

Mlinzi wa Yanga Kibwana Shomari leo alishindwa kumaliza mchezo dhidi ya Simba akichanika kichwani baada ya kugongana na mshambuliaji wa Simba Kibu Denis

Kibwana alilazimika kutolewa na baadae kukimbizwa hospitalini kwa ajili ya matibabu zaidi

Alikuwa na kiwango bora sana kabla ya kupata majeraha hayo ambapo kocha Nasreddine Nabi alilazimika kumtoa na nafasi yake kuchukuliwa na Farid Mussa

Kibwana amewashukuru mashabiki wa soka waliomtakia kheri baada ya tukio lile

Yeya pamoja na Kibu wote wanaendelea vizuri baada ya kupatiwa matibabu Hospitalini

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
6h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
9h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
14h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’