Muda mchache ujao, Wananchi Yanga watashuka pale uwanja wa CCM Kirumba kupepetana na watani zao Simba katika mchezo wa nusu fainali kombe la FA
Kattika mtanange huu, kocha mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi ameanza na wanaume hawa 11;

ADVERTISE HERE