Mashabiki wa soka jijini Mwanza wameanza 'kumiminika' uwanja wa CCM Kirumba tayari kushuhudia mtanange wa nusu fainali kombe la Shirikisho la Azam kati ya Yanga dhidi ya Simba
Mchezo utapigwa kuanzia saa tisa na nusu alasiri lakini mashabiki mapema tu wako katika mageti tayari kuingia uwanjani


ADVERTISE HERE