Uandikishaji Wanachama unaendelea Nyamagana

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 May 2022
Uandikishaji Wanachama unaendelea Nyamagana

Wananchi wa Mwanza wameaswa kusogea viwanja vya Nyamagana kwa ajili ya kukamilisha usajili kuwa Wanachama wa Yanga

Makamu mwenyekiti wa kamati mashindano Eng. Hersi Said pamoja na Msemaji wa Klabu ya Haji Manara wanaongoza zoezi hilo wakitoa elimu juu ya umuhimu wa kuandikishwa kidigitali kuwa Mwanachama wa Yanga

Yanga iko kanda ya ziwa kwa takribani wiki moja ikicheza mchezo wa ligi kuu dhidi ya Biashara United sasa wakisubiri mchezo wa nusu fainali kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) dhidi ya Simba ambao kesho Jumamosi katika uwanja wa CCM Kirumba

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
11h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
14h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
19h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
19h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
23h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’