Mapema leo, Viongozi, Wachezaji na Benchi la Ufundi la Yanga chini ya udhamini wa GSM wakiambatana na Mkuu wa Mkoa Shinyanga Mhe. Sophia Edward Mjema, wametembelea Shule ya Awali na Msingi na Kitengo cha Elimu kwa Watoto wenye mahitaji Maalum iitwajo Buhangija
Yanga imeweka kambi mkoani Shinyanga kujiandaa na mchezo wa nusu fainali kombe la FA dhidi ya Simba ambao utapigwa Jumamosi, May 28 katika uwanja wa CCM Kirumba









ADVERTISE HERE