Saido, Ambundo wasimamishwa Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
26 May 2022
Saido, Ambundo wasimamishwa Yanga

Uongozi wa klabu ya Yanga umethibitisha kusimamishwa kwa wachezaji wawili Saido Ntibazonkiza na Dickson Ambundo

Msemaji wa Yanga Haji Manara amesema wachezaji hao wamesimamishwa kwa kosa la kutoroka kambini baada ya mchezo dhidi ya Biashara United

Manara amesema Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi pamoja na uongozi wamechukua uamuzi huo ili kulinda morali ya wachezaji kuelekea mchezo dhidi ya Simba ambao utapigwa Jumamosi

Manara amesema wachezaji hao wamesimamishwa kwa wiki moja, shauri lao litasikilizwa baada ya mchezo dhidi ya Simba

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
16h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’