Umati wa wakazi wa Iringa waliojitokeza kuishuhudia Yanga ikifanya mazoezi kwenye uwanja wa Chuo Kikuu cha Mkwawa mjini Iringa jana ni kielelezo cha kubainisha ni kiasi gani Yanga ilivyo na wafuasi wengi.
Yanga ndio klabu yenye mashabiki wengi zaidi nchini Tanzania, achana na mbwembwe za hao wengine.
Yale yalikuwa ni mazoezi tu, tunatarajia kwenye mchezo wa kesho uwanja wa Samora utafurika mashabiki kuiunga mkono timu yao ya Wananchi.

ADVERTISE HERE