Baada ya kuwasili mkoani Shinyanga mapema leo, kikosi cha Yanga kimeanza maandalizi ya mchezo wa nusu fainali kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) dhidi ya Simba ambao utapigwa mwishoni mwa wiki (Jumamosi) katika uwanja wa CCM Kirumba
Yanga imeweka kambi ya siku chache mkoani Shinyanga kwa ajili ya maandalizi ya mchezo huo








ADVERTISE HERE