Kikosi cha Yanga kimewasili salama mkoani Shinyanga kuweka kambi ya maandalizi ya mchezo wa nusu fainali kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) dhidi ya Simba
Mchezo huo utapigwa Jumamosi, May 28 katika uwanja wa CCM Kirumba





ADVERTISE HERE