Djuma ndiye kinara wa 'assist' Ligi Kuu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
24 May 2022
Djuma ndiye kinara wa 'assist' Ligi Kuu

Mlinzi Djuma Shabani jana alitoa 'assist' yake ya tano na kuwa kinara wa usaidizi wa mabao ligi kuu ya NBC msimu huu

Mshambuliaji Fiston Mayele ndiye mnufaika namba moja wa 'assist' za Djuma akifunga mabao manne

Djuma pia amepachika mabao matatu msimu huu na kumfanya awe amehusika katika mabao nane yaliyofungwa na Yanga

Wakati Djuma akiwa na 'assist' tano, Saido Ntibazonkiza na Feisal Salum wao wanamfuatia kila mmoja akitoa 'assist' nne

Mayele na Jesus Moloko wao wana 'assist' tatu kila mmoja

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
6h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
9h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
22h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’