Huyu Ushindi asichukuliwe 'poa'

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
24 May 2022
Huyu Ushindi asichukuliwe 'poa'

Jana mashabiki wa Yanga walipata nafasi ya kumshuhudia kwa takribani dakika 55 winga Chico Ushindi akiwa katika kikosi kilicholazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya Biashara United

Tangu ajiunge na Yanga mwezi Januari 2022, Ushindi ameandamwa na majeraha ambayo yamemfanya aonekane uwanjani mara chache sana

Ushindi alikuwa hatari katika mchezo huo akitengeneza na kukosa nafasi kadhaa

Ni wazi utimamu wake wa mwili hauko sawa na wachezaji wenzake kwa kuwa muda mwingi yuko nje

Lakini kwa hakika Ushindi ni mchezaji mzuri, kama atapata mfululizo wa mechi pasipo kukumbwa na majeraha, hakuna ambayo atauliza maswali kuhusu usajili wake 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
17m ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
9h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
14h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
18h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
19h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
19h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
1d ago
READ MORE β†’