Mabingwa wa soka Tanzania Bara, Yanga leo wameingia siku ya pili wakifanya mazoezi ya gym kuiweka miili sawa baada ya mapumziko.
Huo ni mwendelezo wa maandalizi ya msimu mpya wa VPL unaotarajiwa kuanza Agosti 26, huku Yanga ikitarajiwa kushuka dimbani Agosti 27 kuikabili Lipuli.
Kabla ya mchezo huo Yanga itaumana na Simba Agosti 23 kwenye mchezo wa Ngao ya jamii.

ADVERTISE HERE